Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba,
mwanao anakupigia simu baba/mama mimi mzima sijafa mpenzi wangu ABDUL aliniambia nishuke Chalinze ili niwe nae kwa siku mbili alafu niende shule je, wewe mzazi unge mfanyaje mwanao?
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Kicheko bora ya siku!
๐ Hii ni hazina ya kichekesho!
๐ Naihifadhi hii!
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! โฐ
๐คฃ Hii imewaka moto!