Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

Featured Image

1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani


Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.


2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani


Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.


 

3. Kasoro zako


Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.


4. Mapungufu yake


Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani. Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu zinazomuandamana, vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowalemea maishani japo sio rahisi kuonyesha. Kwa nje anaweza akaonekana yuko vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu. Anaweza kufanya yote kufunika upungufu wake!


 

5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema


Hili halisemi kabisa mwanawake kwa sababu anaona haya kutumia maneno ya wazi kueleza raha unayompa. Maneno ya kuzuzua ni himaya ya wanaume, lakini wakati mwingine wapo wasioweza kuficha.


6. Haumridhishi katika tendo la ndoa


Wanawake wengi hawapendi kusema kama hawaridhiki Kwenye tendo la ndoa. Wanawake wanahitaji kuandaliwa vilivyo kwa dakika 10, 20 ama nusu saa. Mara nyingine wanaume huwahi kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa kuridhika lakini hawezi kusema.






Yafahamu Mambo Mbalimbali kuhusiana na Wanawake kwa Ku-Download Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE




Kitabu hiki ni Soft copy [pdf] kwa hiyo unaweza kusoma moja kwa moja kirahisi kabisa hata kwenye simu yako. Utatumiwa Kopi ya kitabu hiki kwenye email yako na utaweza kukihifadhi na kusoma wakati wowote utakaotaka.





[products columns="2" ids="30827"]


AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Je, nini imani ya watu katika kuzungumza waziwazi juu ya ngono/kufanya mapenzi na kutokuwa na aibu?

Je, nini imani ya watu katika kuzungumza waziwazi juu ya ngono/kufanya mapenzi na kutokuwa na aibu?

Habari rafiki yangu! Leo tutaongea kuhusu umuhimu wa kuzungumza waziwazi juu ya ngono na kufanya ... Read More

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Ili kuwa na familia yenye... Read More

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya usawa na haki za wanawake katika jamii

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya usawa na haki za wanawake katika jamii

Mara nyingi, tunasikia juu ya usawa na haki za wanawake katika jamii, lakini je, umewahi kuzungum... Read More

Je, ni muhimu kuelewa na kuheshimu hisia za mwenza wako wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, ni muhimu kuelewa na kuheshimu hisia za mwenza wako wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

  1. Kujenga uhusiano wa kimapenzi wenye afya na mwenza wako ni muhimu sana. Hii ni kwa saba... Read More

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kukosa Uaminifu na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kukosa Uaminifu na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Familia ni muhimu kwa ustawi wetu kama binadamu. Hata hivyo, familia inaweza kuwa na changamoto n... Read More

Jinsi ya Kuishi kwa Amani na Umoja katika Familia

Jinsi ya Kuishi kwa Amani na Umoja katika Familia

Familia ni mahali pa kwanza ambapo tunajifunza kuhusu upendo, heshima na uvumilivu. Hata hivyo, m... Read More

Jinsi ya Kujenga Uaminifu na Imani katika Ndoa na mke wako

Jinsi ya Kujenga Uaminifu na Imani katika Ndoa na mke wako

Kujenga uaminifu na imani katika ndoa ni msingi muhimu wa uhusiano imara na wenye furaha. Hapa kuna ... Read More
Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kiutamaduni na maadili katika mahusiano na mpenzi wako

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kiutamaduni na maadili katika mahusiano na mpenzi wako

Mahusiano ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu na wengi wetu tunataka kuwa na uhusiano mzur... Read More

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia ili Kuwa na Amani na Furaha

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia ili Kuwa na Amani na Furaha

Karibu kwenye makala hii inayojadili jinsi ya kujenga mazingira ya upendo na ukarimu katika famil... Read More

Mazungumzo ya Wazi kuhusu Fedha: Ujenzi wa Ustawi wa Familia

Mazungumzo ya Wazi kuhusu Fedha: Ujenzi wa Ustawi wa Familia

Mazungumzo ya wazi kuhusu fedha ni hatua muhimu kuelekea ustawi wa familia. Hii ni kwa sababu, ka... Read More

Je, nini imani ya watu katika kuelewa na kuheshimu mipaka ya kimwili katika uhusiano wa ngono wakati wa kufanya mapenzi?

Je, nini imani ya watu katika kuelewa na kuheshimu mipaka ya kimwili katika uhusiano wa ngono wakati wa kufanya mapenzi?

Leo tutazungumzia kuhusu imani za watu katika kuelewa na kuheshimu mipaka ya kimwili katika uhusi... Read More

Kutafuta Furaha: Mambo Mazuri Katika Kufanya Mapenzi

Kutafuta Furaha: Mambo Mazuri Katika Kufanya Mapenzi

Kutafuta Furaha: Mambo Mazuri Katika Kufanya Mapenzi

Kila mtu anatamani furaha katika mape... Read More