Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Sala ya Saa Tisa

Featured Image

✝⌚✝

Sala ya saa tisaπŸ™πŸΎ

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. A mina

Yesu, ulikufa, lakini chanzo cha uhai kilitoka kwa ajili ya watu, na bahari ya huruma ilifunguka kwa ajili ya ulimwengu mzima. Ee chemchemi ya Uhai, huruma ya Mungu isiyo na mwisho, ikafunika ulimwengu mzima na ukajimwaga mwenyewe juu yetu.

❣✝❣

✝Ee Damu na Maji, yaliyotoka moyoni mwa Yesu kama chemchemi ya Huruma kwetu. Nakutumainia.

(Mara tatu)

πŸ›β£πŸ›

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Anna Malela (Guest) on September 29, 2017

πŸ™β€οΈπŸ’– Bwana akujalie baraka

Brian Karanja (Guest) on August 7, 2017

Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima

John Malisa (Guest) on July 11, 2017

Rehema hushinda hukumu

Lucy Mushi (Guest) on March 14, 2017

Neema ya Mungu inatosha kwako

Lucy Kimotho (Guest) on February 15, 2017

Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia

John Lissu (Guest) on January 17, 2017

πŸ™πŸ™πŸ™

Andrew Odhiambo (Guest) on December 20, 2016

Baraka kwako na familia yako.

Carol Nyakio (Guest) on December 18, 2016

Amina

Christopher Oloo (Guest) on September 29, 2016

Sifa kwa Bwana!

Thomas Mtaki (Guest) on September 20, 2016

πŸ™βœ¨πŸ’– Mungu atajibu maombi yako

Monica Adhiambo (Guest) on September 3, 2016

Imani inaweza kusogeza milima

Charles Mboje (Guest) on August 12, 2016

Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia

Henry Mollel (Guest) on April 28, 2016

Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako

Janet Wambura (Guest) on April 26, 2016

πŸ™β€οΈπŸŒŸ Asante Mungu kwa uhai

Wilson Ombati (Guest) on April 14, 2016

πŸ™πŸŒŸ Mungu akujalie amani

John Mushi (Guest) on October 10, 2015

Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako

Thomas Mtaki (Guest) on September 2, 2015

Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe

Charles Mrope (Guest) on August 25, 2015

πŸ™πŸ’– Mungu wetu asifiwe

Anna Mchome (Guest) on August 9, 2015

Mungu ni mwema, wakati wote!

Stephen Mushi (Guest) on June 8, 2015

Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe

Dorothy Majaliwa (Guest) on June 7, 2015

Hauko peke yako; Mungu yuko nawe

Wilson Ombati (Guest) on May 29, 2015

πŸ™βœ¨ Mungu asikie maombi yetu

Peter Mugendi (Guest) on May 28, 2015

Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia

Related Posts

SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI

SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI

Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote kwa wepesi wako wa... Read More

Sala fupi ya Asubuhi

Sala fupi ya Asubuhi

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina... Read More

Sala kwa Mtakatifu Yosefu

Sala kwa Mtakatifu Yosefu

Ee Yosef mwenye heri, tunakimbilia kwako, katika masumbuko yetu, na kishaomba shime ya Mchumba wa... Read More

SALA KWA MT. YOSEFU KWA WASIO NA AJIRA WAPATE AJIRA

SALA KWA MT. YOSEFU KWA WASIO NA AJIRA WAPATE AJIRA

Ee Mt. Yosefu, tunakuomba kwa ajili ya wale asio na ajira, kwa ajili ya wale wanaotaka kujipatia ... Read More

Kuweka nia njema

Kuweka nia njema

Kumheshimu Mungu wangu, Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike, Amri zake tu nishike, Wazo n... Read More

LITANIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA MATESO

LITANIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA MATESO

Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie B... Read More

Majitoleo kwa Bikira Maria

Majitoleo kwa Bikira Maria

(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na... Read More

LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU

LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU

Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie Kristo utuhurumie
Bwana utuhurumie ... Read More

SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA

SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA

Kwa njia ya Maji haya ya Baraka,

na kwa njia ya Damu yako azizi,

na kwa maombezi ya M... Read More

SALA YA BWANA: SALA YA BABA YETU

SALA YA BWANA: SALA YA BABA YETU

Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyikeRead More

SALA YA MTAKATIFU INYASI

SALA YA MTAKATIFU INYASI

Roho ya Kristo unitakase
Mwili wa Kristo uniokoe
Damu ya Kristo unifurahishe
Maji ... Read More

SALAMU MARIA

SALAMU MARIA

Salamu Maria
Umejaa neema
Bwana yu nawe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Na Y... Read More