Nimekuja kwa Rafiki angu kumtembelea kaacha maji jikon yeye kaenda kununua unga. Huku mm nikaongeza maji pale jikon. Kumbe yy aliweka maji saiz ya unga wake peke ykeโฆ Sasa hiv TUNAKUNYWA UJI hata hatuongeleshani. Kimbelembele changu kimeniponza.. ๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Kali sana!
Hizi jokes zinanifanya nicheke kila siku! ๐๐
๐๐คฃ๐๐
Kweli mnajua kuchekesha watu! ๐คฃ๐
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ๐๐คฃ