Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia “Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/=”
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! ๐
Kweli ni jokes za ukweli! ๐๐
๐คฃ๐คฃ๐๐
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ๐๐