Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu , Nina pesa zangu ktk account hapa bank naogopa usilale usingizi ndo maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala!!
😂😂😂😂😂😂
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii ni joke ya maana sana! 😂👌
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😊😂
😆😂👏
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! 😊😅
🤣 Kichekesho bora kabisa!