๐ย Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,
Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, ‘We nani?’, Jamaa akajibu, ‘Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa’. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
*Mniache mimi sipendi Ujinga Ujinga ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐๐๐คฃ
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! ๐
Hii ni ya maana sana! ๐๐
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! ๐
๐๐