Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
“Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani”
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , “niaje mrembo”, akanikazia macho kisha akaniambia,
“Shika battery yako uliangusha ukitoa simu”
Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale๐ถ๐ฟ๐ถ๐ฟ๐ถ๐ฟ
Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Munguโฆ ๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii ni joke ya ukweli kabisa! ๐๐คฃ
Huyu alikuwa na point! ๐๐
๐๐คฃ๐๐
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐๐
๐ Hii imenichekesha kwa sauti kweli!