Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐คฃ Nalia kwa kicheko kweli!
Nimecheka hadi machozi yanatoka! ๐คฃ๐ญ
Asante Ackyshine
Hii ni kali sana! ๐๐คฃ
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ๐๐