Ujumbe wa mapenzi kwa mpenzi wako kumwambia unampenada na unamkumbuka
Updated at: 2024-05-25 15:24:48 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:52 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo '' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
Read more
Close
Meseji ya kumsihi mpenzi wako muendelee kupendana kwa kuwa yeye ni wa kipekee
Updated at: 2024-05-25 15:24:32 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
Read more
Close
Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Updated at: 2024-05-25 15:37:03 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali.
Read more
Close
Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi
Updated at: 2024-05-25 15:21:55 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana
Read more
Close
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa utampenda mpaka mwisho wa uhai wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:05 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.
Read more
Close
Meseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:24:30 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda mpz, nakupenda tukwepe fitina mpz.
Read more
Close
Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Updated at: 2024-05-25 15:26:44 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la jua ni kama upendo wa thamani usioweza kuuzika.
Read more
Close
SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku
Updated at: 2024-05-25 15:36:09 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
Read more
Close
Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa sababu na wewe haupo tayari kumuacha
Updated at: 2024-05-25 15:22:08 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha
Read more
Close