Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
Updated at: 2024-05-25 15:37:18 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku
Uamkapo nitakupa langu tabasamu Ukweli wa moyo utawale roho yako Kwani macho yako ndo uzuri kwangu Nakupenda sasa na milele kipenzi change
Updated at: 2024-05-25 15:37:43 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Uamkapo nitakupa langu tabasamu Ukweli wa moyo utawale roho yako Kwani macho yako ndo uzuri kwangu Nakupenda sasa na milele kipenzi changu
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya
Updated at: 2024-05-25 15:35:59 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo muhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, la pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana pamoja.
Nashukuru nimekupata wewe nikupendaye, naomba unipende na uungane name
Read more
Close
SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:50 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana.
Read more
Close
Meseji ya kutakia usiku mwema
Updated at: 2024-05-25 15:36:12 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Usiku Ni "utulivu" Usiku Ni "mzuri" Usiku Ni"upole" Usiku Ni "kimya" Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a!
Read more
Close
Ujumbe wa mapenzi kwa umpendaye kwa dhati
Updated at: 2024-05-25 15:36:53 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda usiku na mchana Nakuwaza siku zote za maisha yangu
Read more
Close
SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao
Updated at: 2024-05-25 15:37:44 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS ya kujivunia mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:26:01 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma, utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
Read more
Close
Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Updated at: 2024-05-25 15:36:50 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja
Read more
Close
SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:24:47 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
»- ——»>
Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk maisha yangu na kama umekutana nao usiukwepe uache uchome Moyo wako gharama za matibabu juu yangu.
Read more
Close