SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiyaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz
Updated at: 2024-05-25 15:26:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?
Updated at: 2024-05-25 15:37:34 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?
SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe
Updated at: 2024-05-25 15:24:38 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ni yangu mazoea kila cku cm yako kuipokea kama si meseji kunitumia leo naumia kila napo fikiria nini kimetokea hadi mawasiliano yetu yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali ya kawida itarejea na majonzi moyoni yatanipotea nakupenda mpz