SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie
Updated at: 2024-05-25 15:22:20 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake
Updated at: 2024-05-25 15:23:20 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
tazama, nimezama ndani ya bahari la penzi lako siwezi kusonga mbele kurudi nyuma sijielewi haya mapenzi ya fujo hayafai kama wanipenda jaribu kunipa raha
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:26:23 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat na mapenz mazito zito,
Updated at: 2024-09-03 07:51:45 (8 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.