Updated at: 2024-05-25 15:26:09 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Updated at: 2024-05-25 15:24:09 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.
Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Updated at: 2024-05-25 15:25:03 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.