Huyu mwanafunzi kweli kiboko
Updated at: 2024-05-25 17:17:30 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..
John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....`Β
`Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`*
`John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` ππ,ππ
Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Updated at: 2024-05-25 18:00:33 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele "bonyeza send, bonyeza send wewe" abiria wote hawana mbavu