Updated at: 2024-05-25 17:45:54 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
High school Flashback!! . Watchman : Amkeni muende morning preps. Allan : Mimi ni mgonjwa. Watchman : Unaumwa na nini hiyo? Allan : Bionomial Nomenclature. Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni mbaya. Imeuwa watu South Africa. ππππππππππ
Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Updated at: 2024-05-25 17:16:20 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuuβ¦.. Interviewer: where were u born? Guy: Tanzania Interviewer: okay which part? Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania.. πππ Cpendagi ujinga mim
Updated at: 2024-05-25 17:52:24 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".π΄πππ MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.π΅π· MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".π΄π‘ MKE: "Sidiria yetu!!"ππ MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")π΄π·π· ππππππ ππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:09:25 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili πππhapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja