Updated at: 2024-05-25 17:45:54 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
High school Flashback!! . Watchman : Amkeni muende morning preps. Allan : Mimi ni mgonjwa. Watchman : Unaumwa na nini hiyo? Allan : Bionomial Nomenclature. Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni mbaya. Imeuwa watu South Africa. ππππππππππ
Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga
Updated at: 2024-05-25 16:55:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.π€π½ππ½
Mwanamke wa kitanga: Unampa hela anapika vitu mtaa mzima unasikia harufu ya chakula, chenji inayo baki ananunua kinga ukirudi unakula afu unakula..ππΌππΌπ€π½ππ½
Mwanamke wa kihaya: Unampa hela ukirudi unakuta majirani wote wanataarifa kuwa wew uliacha hela, anakupkia vitu vzuri, usiku anakuhudumia ukimsifia anakuhudumia tena hata mara nne kwa usiku mmoja..we mle sifa tuππ½ππ½π€ΈπΎββππ½.
Mwanamke wa kichaga: Unampa hela anaenda ananunua dagaa anapika na michuzi mingi mpaka dagaa wanafufuka unakula kwa shida, dagaa wanakula utumbo wako unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu unafufuka. Ukiwa hujapata akili vizuri anakuletea bili ya umeme, anakukumbusha deni la kwa Massawe, anakukumbusha kodi ya nyumba.. *Unashikwa na presha unakufa moja kwa moja*ππ½πππΌββππΎπ€ΈπΎββ
Updated at: 2024-05-25 17:01:44 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu.. Mume: Nitafanya kama yesu.. Mke: Unamaanisha Nini?
Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3.. Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria.. Mume: Unamaanisha Nini? Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu.. Mume: π³π³π³