Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Sio kwa wivu huu

Featured Image
236 Comments

Kilichonitokea leo baada ya kuona nungunungu

Featured Image
236 Comments

Angalia huyu demu alivyo mbulula

Featured Image
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja, Mhudumu: kaka nikuhudumie nini, Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
237 Comments

Kuwa na Binti aliyeacha shule

Featured Image
236 Comments

Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli

Featured Image

Mwanafunzi wa darasa la 2 kaulizwa na mwalimu wake

Hivi:je ukipewa maandazi 5 ukiambiwa kula 3 tu yatabaki mangapi?

Akamjibu hivi:nikipewa na chai hakibaki kitu mwalimu.

236 Comments

Wadada lenu hili. Mimi sipo

Featured Image
236 Comments

Huyu Jamaa ubahili umezidi kwa hiki anachomwambia huyu dada

Featured Image
237 Comments

Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Featured Image
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
237 Comments

Omba omba sio barabarani tuu

Featured Image
236 Comments

Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

Featured Image
236 Comments