Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha halafu akamuuliza “Samahani dada
unaitwa Google?”.
Dada: “hapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?”. Jamaa: “Una kila kitu nnachokitafuta
“๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Nimecheka hadi nimepata furaha! ๐๐
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐๐
๐ Hii ni kali sana!
๐คฃ Hiyo twist mwishoni, ingawa!
Hii imenibamba sana! ๐ ๐คฃ