Google alisema : mimi nina kila kitu
Facebook ikasema : mimi najua watu wote
Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi
Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu !
umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! ๐
๐คฃ Sikutarajia hiyo!
Kweli mnajua kuchekesha watu! ๐คฃ๐
Mna kipaji cha ucheshi! ๐๐
Hizi jokes zinabamba sana! ๐๐