Posted: December 20, 2017
Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu.
Mateso na shida katika maisha ni nafasi ya kujifunza na Kuonyesha unyenyekevu, Imani na Matumaini ya mtu.
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! ๐
๐ Imeongezwa kwenye vipendwa!
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! ๐
Nimecheka hadi nimesahau shida! ๐คฃ๐
Kweli mnajua kuchekesha watu! ๐คฃ๐