Leo nimeiogopa pombe.
Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko club…..nkamsikia anasema “wee dj noomaaaa”
Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan?
Nlivyokuwa na roho mbaya Nikamwambia iyo ni collabo ya Yamaha na Petrol
😂😂😂😂😂
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
😅😂👌😊
😂🤣😊😅
😄 Kichekesho kamili!
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! 😂
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! 😄