Shikamoo kingereza..!
Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:
Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!
Price: TSH 44,000/=
Nikaagiza!
Nilipoletewa ndio nagundua kwamba:ย ni makande na parachichiย ..๐ค
hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo๐ค๐จ
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐คฃ Hii imenigonga vizuri!
๐ Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ๐๐คฃ
๐ Nimeipenda kabisa hii!
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ๐๐