Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- “Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3.”
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
hahahaha madem bwana!!
Daah! Live Bora nibaki single tu 🤣🤣
uakika
😂 Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! 🤣
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😊😂