Zawadi ya Kipekee kwa mtu
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni
Kusali na Kuomwombea Mtu aweze kuingia Mbinguni.
Je, ulishawahi kutoa zawadi hii hasa kwa wale unaowapenda?
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni
Kusali na Kuomwombea Mtu aweze kuingia Mbinguni.
Je, ulishawahi kutoa zawadi hii hasa kwa wale unaowapenda?
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine
Upendo ni Amri kubwa kuliko zote
Upendo ni Utimilifu wa Sheria
Upendo ni Utakatifu
Read More Β»Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya Amani raha na fanaka.
Unaweza ukawa daraja kwa maana kwamba wewe unaweza kuwa sababu ya wengine kupata Baraka na neema za Mungu.
Unaweza kuwa kikwazo kwa maana kwamba unaweza kuwa wewe ni sababu ya wengine kutokupata Baraka na Neema za Mungu.