Kwa nini ubatizo unafanyika kwa maji?
Ubatizo unafanyika kwa maji kwa kuwa ndiyo ishara ya usafi na ya uhai unaotupatia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Tag: Katoliki: Sakramenti ya Ubatizo
Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari
Ni lazima asadiki kwamba; Mungu yupo mmoja. Bwana wetu na Baba yetu, mwenye kuwatunza watu wema mbinguni na kuwaadhibu watu wabaya motoni milele (Mt. 15:41,46) Katika Mungu mmoja kuna nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu (Yoh. 14:16, 17). Nafsi ya pili alishuka duniani akajifanya mtu, akatuokoa utumwani mwa shetani,…