Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Comments
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!