Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
AckyShine

Mambo ya Msingi kufahamu kuhusu Ndoa ya Kikatoliki

Featured Image
Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamoja kitakatifu wakiwalea watoto wao katika utakatifu
51 Comments

Maswali na Majibu kuhusu Kanisa Katoliki

Featured Image
Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria? Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidi wanaposali kupitia Bikira Maria kwani Bikira Maria anatuombea kile tunacho mwomba. Bikira Maria anasimama Kama mwombezi wetu mbele ya Mungu hasa pale tunaposhindwa kusali Inavyotakiwa.
50 Comments

Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha umuhimu wa haki na kulinda haki za binadamu?

Featured Image
Kanisa Katoliki linatetea haki za binadamu kwa furaha na nguvu zote! Je, unajua kuwa kanisa linafundisha umuhimu wa kulinda haki zetu? Soma makala hii ili kupata maelezo zaidi!
50 Comments

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Ibada ya Kanisa Katoliki

Featured Image
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
51 Comments

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Ishara ya Msalaba

Featured Image
Ishara ya msalaba ni nini? Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka “Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”
50 Comments

Mambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu kuhusu Sakramenti ya Daraja

Featured Image
50 Comments

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu upendo na huruma?

Featured Image
Ni imani ya Kanisa Katoliki kwamba upendo na huruma ni msingi wa imani yetu. Kupitia maandiko matakatifu na mafundisho ya Kanisa, tunaelewa kuwa Mungu ni upendo na anatupenda sisi kila wakati. Sisi kama wakristo tunaitwa kuonesha upendo na huruma kwa wengine kama alivyotufundisha Yesu Kristo. Ni kwa kuonesha upendo na huruma kwa kila mtu, ndipo tunaweza kuleta amani na furaha duniani.
50 Comments

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu familia na ndoa?

Featured Image
Ni wakati wa furaha, familia na ndoa ni nguzo za msingi. Lakini je, unajua imani ya Kanisa Katoliki kuhusu hili? Hapo ndipo tunapoanza safari yetu ya kujifunza!
50 Comments

Maswali na Majibu kuhusu Ufufuko wa wafu

Featured Image
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele.
50 Comments