Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
☰
AckyShine

Maswali na Majibu kuhusu Biblia

Featured Image
50 Comments

Amri ya Pili ya Mungu: Tunakatazwa kuapa bure au uongo kwa Jina la Mungu

Featured Image
Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini? Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu Kiapo cha uongo ni nini? Ni kuahidi kwa kiapo bila nia ya kutimiza au kuvunja ahadi iliyotelewa.
50 Comments

Amri za Kanisa: Mambo ya Muhimu kujua na Kuzingatia

Featured Image
Amri za kanisa ni; 1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa. 2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu 3.Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka. 4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pasaka 5. Saidia Kanisa Katoliki kwa zaka 6. Shika sheria Katoliki za ndoa.
50 Comments

Maswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao

Featured Image
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba? Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
50 Comments

Maswali na Majibu kuhusu Liturujia

Featured Image
50 Comments

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maombi ya watakatifu?

Featured Image
Ni furaha kubwa kujifunza kuhusu imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maombi ya watakatifu! Tufurahie pamoja!
50 Comments

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine?

Featured Image
Je, umewahi kujiuliza Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine? Usijali, leo tutakupa majibu kamili ya swali hili la kuvutia!
50 Comments

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu viongozi wa kidini na maaskofu?

Featured Image
Wapendwa wasomaji, leo tunazungumzia imani ya Kanisa Katoliki kuhusu viongozi wa kidini na maaskofu. Je, unajua nini kuhusu hili? Tupo hapa kukupa majibu yote kwa mtindo wa kusisimua na wa kibunifu!
50 Comments

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Ibada ya Kanisa Katoliki

Featured Image
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
51 Comments

Maswali na majibu kuhusu Katekesi

Featured Image
Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala
52 Comments