SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiyaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz
SMS ya Birthday ya kumtakia mpezi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa
Updated at: 2024-05-25 15:26:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dear siku zimekaribia, miaka β¦β¦ utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:22:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa katika maisha yangu.