Updated at: 2024-05-25 15:35:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
moyo upendao kwa dhati. haujalish ni kababu au chapat. n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati. kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati. nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati. Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat. Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati. wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati.
Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:37:04 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.
Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Updated at: 2024-05-25 15:25:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.