Updated at: 2024-05-25 15:36:40 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako Safarini nitajenga hekalu la pendo letu Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu
Updated at: 2024-05-25 15:25:17 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.
SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:42 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
Updated at: 2024-05-25 15:27:12 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"
Updated at: 2024-05-25 15:24:16 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika. NAKUPENDA