Updated at: 2024-05-25 15:26:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali Nakupenda Mpz
Updated at: 2024-09-03 07:51:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini haitochuruzika ila mishipani… .
SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:50 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana.