Updated at: 2024-09-03 07:51:45 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia msichana umpendaye kumwambia kuwa utampenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:36:23 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo wangu mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo daima milele. nakupenda mpz
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:23:40 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimiwako sikuachi asilani