Updated at: 2024-05-25 15:25:57 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Ujumbe wa kimahaba kuhusu upendo wa kumwambia mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… . upendo ni lugha , kwamba kila mmoja anaongea, upendo hauwez kununuliwa, na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamu nakupenda mpenzi
Updated at: 2024-05-25 15:22:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote maishani mwangu.
Updated at: 2024-05-25 15:36:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Updated at: 2024-05-25 15:36:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji asilani, Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni. ucku mwema