Updated at: 2024-05-25 17:16:07 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibuย 21002ย Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU ๐๐mtatuua na lugha zenu๐
Updated at: 2024-05-25 17:57:33 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanzaโฆโฆ. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iwejeโฆ.anapenda sms zaidi 7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika. 8.Muda mwingi ni mtu wakujihami. 9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara. 10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta dial no haraka. 11.Always yuko na simuโฆ..hadi bafuni ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simuโฆ.anajishtukia. 13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi 14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa Share na washikaji zako๐๐๐๐๐
Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani
Updated at: 2024-05-25 18:01:13 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele
Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana; MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi? MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
Updated at: 2024-05-25 18:08:53 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana; MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi? MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
MKAKA: Samahani sanaโฆ.jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simuโฆ.aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae. MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saaโฆ.. MKAKA: Achana na mimi wewe
Updated at: 2024-05-25 17:45:32 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?