Usichokijua kuhusu shamba lako
Updated at: 2024-05-25 17:01:04 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Je wajua?.. Shamba lako likipatikana na dhahabu ni mali ya serikali..ila likipatikana na bangi ni mali yako ππππ
Read more
Close
Kama mpezi wako akikuita MAMITO Unatakiwa umjibu hivi
Updated at: 2024-05-25 16:51:56 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Akina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubali
na yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwai π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Read more
Close
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
Updated at: 2024-05-25 18:08:45 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.
Read more
Close
Wazo la jioni hii
Updated at: 2023-04-29 22:53:43 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
π’WAZO LA JIONI HII π’
KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBAπ
Read more
Close
Muda mzuri wa kulipa mahari
Updated at: 2024-05-25 17:10:16 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Amini Nawaambieni Hakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapokea Hata Buku Kumiβ¦. ππππππ
Read more
Close
Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake
Updated at: 2024-05-25 16:53:40 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
{ NGOMA DROO} Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital
{Sasa na sisi} wanaume tunasema Kuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk ππππππ Wanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeeeππΎββππΎββππΎββππΎββ
Read more
Close
Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Updated at: 2024-05-25 18:00:23 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtoto: Β baba eti Botwasna ipo wap?Baba: Β angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajamboβ¦
Read more
Close
Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa
Updated at: 2024-05-25 16:56:16 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
ππ kweli nimeamin mitandao inahribu watu
Leo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabaran kapendeza jamaa kamwendea Dada akamwambia!Dada nice photo Β ππππ
Read more
Close
Wanawake wanavyopenda hela, hadi kutoka kwa nyani na ngedere
Updated at: 2024-05-25 17:07:22 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦ Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦.. Wanavyopenda hela ππππππππ
Read more
Close
Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Updated at: 2024-05-25 18:01:04 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"
Read more
Close