Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!
Updated at: 2024-05-25 17:57:04 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?
Updated at: 2024-05-25 17:16:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badae MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa MKE:Miguu kama masaa mawili MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi MKE: Ondoka hapa mjinga we. β¦β¦ Akafunga mlango MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo ng'oo SIPENDI UJINGA MM nikiwa na my love pr
Updated at: 2024-05-25 18:11:06 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dem anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, dem kavua ile kanga akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua frank hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..
DEM: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA YAANI HUONEKANI SIKU HIZI..?
FRANK: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!β¦
Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Updated at: 2024-05-25 17:16:20 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuuβ¦.. Interviewer: where were u born? Guy: Tanzania Interviewer: okay which part? Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania.. πππ Cpendagi ujinga mim
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Updated at: 2024-05-25 18:12:25 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! hivi inawezekana? bac fanya hivyo tuwauzie na wengine hiyo ringtone. ππ
Updated at: 2024-05-25 17:08:29 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wazo la asubui
πPenzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao.Lakini binadamu masaa kibao mtoto 1 au 2. Sasa binadam na kuku nani JEMBE? Ukimwona JOGOO popote piga SALUTI!ππππππππukinuna poa tu!!!!!ππππππππππππππ