Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani, Mungu amtiishe, tunaomba sana, nawe Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni kwa nguvu ya Mungu uwaangushe motoni shetani na pepo wabaya wengine wote, wanaozunguka duniani, ili kuzipoteza roho za watu. Amina.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Mungu atubariki sote.Mtakatifu Mikaeli malaika mkuu utulinde katika hila zote na umtupe mbali muovu shetani amina
🙏✨ Mungu atupe nguvu
🙏🌟 Neema za Mungu zisikose
🙏✨💖 Mungu atajibu maombi yako