Mkusanyiko wa Vitabu vyote vya Agano la Kale
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Original price was: Sh7,000.Sh0Current price is: Sh0.
Msomaji wangu mpendwa, Leo nimekuandalia kitabu cha Biblia Takatifu Agano La Kale.
Kitabu hiki kina Mkusanyiko wa Vitabu vyote vya Agano La kale
Kitabu hiki kipo katika mfumo waย Soft copy [pdf]ย ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure..
Bofya โClick Here to Downloadโ kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.
Mkusanyiko wa Vitabu vyote vya Agano la Kale
Asante. Ila mbona Biblia hii ya Agano la kale haina vitabu vya Hekima ya Suleimani, Yoshua Bin Sira, Wamakabayo, Tobiti, Yudithi na Baruku? Na kitabu cha Danieli sura ya 13?
Kwa kukosekana kwa hivyo vitabu naona hiyo Biblia haijakamilika. Labda uandae pia na toleo jipya linalojumuiya na hivyo vitabu.
Asante
Hiyo bado haijaandaliwa
Thanks๐
Thanks๐
๐ค
Ubarikiwe na Bwana