Ukweli kuhusu albino
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
- Je, ualbino unaambukiza? β¦β¦β¦.. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino ni laana? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino ni kitu cha kawaida? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino unawapata tu watu weusi?β¦β¦β¦.. Hapana
- Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?β¦β¦β¦.. Hapana
- Albino ni watu wenye imani za ushirikina? β¦β¦β¦..Hapana
- Albino wana nguvu za giza? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, Albino hawana akili? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?β¦β¦β¦.. NDIYO
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Kama kijana, kuna wakati unaweza kukutana na msichana na unataka kuzungumza naye kwa kina lakini ...
Read More
Hatari inategemea na mazingira ambapo mimba inatolewa. Kama ni hospitalini na i inatolewa na mtaa...
Read More
Karibu sana kwenye makala hii ya blog, ambapo tutajadili kuhusu kwa nini watu wanapendelea kutafu...
Read More
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya Mapenzi ππ₯
...
Read More
Je, mwanamke anaweza kufikia mshindo?
Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kuj...
Read More
Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukub...
Read More
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usin...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kujifunza kuhusu anatomi ya mwili wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Ndiyo! Kwa...
Read More
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mp...
Read More
Kama wapenzi wapya au wapenzi wa muda mrefu, ni muhimu sana kujadili matarajio ya ngono/kufanya m...
Read More
Jambo rafiki yangu! Katika maisha ya kila siku, tunakutana na wasichana wengi ambao tunapenda kuw...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!