Updated at: 2024-05-25 15:26:09 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali Nakupenda Mpz
, - .(. - .
'. .'
' . . . ' Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa.
"APPLE" Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo.
Updated at: 2024-05-25 15:37:39 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
, - .(. - .
'. .'
' . . . ' Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa.
"APPLE" Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo.
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Updated at: 2024-05-25 15:22:33 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
Updated at: 2024-05-25 15:26:08 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.