Meseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda
Updated at: 2024-05-25 15:26:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo Sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.
Read more
Close
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Updated at: 2024-05-25 15:36:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu tabasamu usoni mwangu ndio siri ya pendo lako kwangu
Read more
Close
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee
Updated at: 2024-05-25 15:23:55 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunia nzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.
Read more
Close
SMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu
Updated at: 2024-05-25 15:27:05 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu mwenye thamani kwangu katika hii dunia.
Read more
Close
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:25:00 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.
Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.
Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi.
Nakupenda sana Dear
Read more
Close
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
Updated at: 2024-05-25 15:23:44 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila mwili wangu upo kwa ajili yako dear
Read more
Close
Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine
Updated at: 2024-05-25 15:23:41 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
Read more
Close
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Updated at: 2024-05-25 15:26:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Read more
Close
Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:27:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"
Read more
Close
SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:42 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
Read more
Close