Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:27:07 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda.
Read more
Close
SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Updated at: 2024-05-25 15:26:29 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.
Read more
Close
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha
Updated at: 2024-05-25 15:26:02 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…
Read more
Close
SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:27:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Read more
Close
Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:07 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:52 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo '' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
Read more
Close
Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
Updated at: 2024-05-25 15:24:14 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini.
Read more
Close
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Updated at: 2024-05-25 15:27:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
Read more
Close
SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:27 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:36:26 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
Read more
Close