Updated at: 2024-05-25 15:25:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia akufanye wa kipekeee
Updated at: 2024-05-25 15:24:55 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:26:50 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe. Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako, nimeambiwa ili nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk. Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?