Updated at: 2024-05-25 16:52:33 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ulishawahi kutana na hiiโฆ. Issa: mambo Jeni:poa vp Issa:poa nambie:
Jeni:poa aje ww: Issa:poa nambie Jeni:poa Issa :bas poa Jeni:poaโฆ. Issa:poa badee basi Jeni:haya Issa:bai ๐๐๐๐โฆโฆ..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGAโฆโฆ
Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
Updated at: 2023-04-29 22:53:28 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga. MWAL: Safi sana Rose. Utakua utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi. MWAL: Na wewe Nehemiah ?? Nehemiah : mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiweโฆโฆ" Akameza mate kisha akaendeleaโฆ. "Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilionea ninayeogopwa. Lakini pia nataka kuwa na mke mzuuuri sana ambaye nitakuwa natembea nae kila mahali." MWAL: ndoto nzuri sn lakini unahitaji bidii sana kutimiza. Haya na wewe Jenny tueleze unataka kuwa nani?? JENNY: Nataka kuwa mke wa Nehemiah .!!
Updated at: 2024-05-25 17:59:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la โฆ."
Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada
Updated at: 2024-05-25 16:59:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza muuzaji,โHuna mkubwa zaidi?โ Muuzaji akamchukua yule kuku na kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu akamtoa tena kwenye friji na kumrudisha kwenye mzani, safari hii akagandamiza mzani kwa gumba, kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdada akasema โDuh afadhali huyu mkubwa kidogo,ย naomba unifungie nawachukua wote wawiliโ
Mamaaaaa muuzaji sijui atatoa wap kuku wa pili๐
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Hapo ndipo utagundua kwa nini MUWA co TUNDA ๐ถ๐ฝ๐ถ๐ฝ
Updated at: 2024-05-25 17:05:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:
MCHUNGAJI: My name is Pastor Livingstone MKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi MCHUNGAJI: We thank God for All goals we set by our hands MKALIMANI: Tunamshukuru Mungu kwa Magoli yote tuliyoweka kwa Mkono
Hivi navyoongea kanisa halina viti waumini wote tumekimbia nje naona Mkalimani amebaki na kiatu cha kushoto tu. Sunday joke
Updated at: 2024-05-25 18:11:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hii ndio Bongo
Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.
MZEE: Chagua gari unalotaka mpenziโฆ.kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .
BINTI: Mi naitaka hii
MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard
MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee
MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lakoโฆ
Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.
MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano.
MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.