Baada ya kumkuta mwanamme mwingine chumbani kwake na mke wake cheki huyu anachokifanya
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi, DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu NAKUA: Hakuna kitu kama hicho DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguoโฆ.
Updated at: 2023-04-29 22:53:31 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi, DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu NAKUA: Hakuna kitu kama hicho DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguoโฆ.
NAKUA kaingia ndani kamkuta mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati NAKUA: Aise unajua we fala sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na mwanao.
SOMA HII: Kama wewe ndo baba au mama hapa ungefanyaje!???
Updated at: 2023-04-29 22:52:37 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari, ili kumthibitishia mkewe kuwa Bakari ndo culprit, boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali. Siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.
Boss:- Bakariiii! Bakari:- Naam baba! Boss:- Nani anakunywa wine yangu?
Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni. Boss: Kwanini nikikuita unaitikia, nikikuuliza unanyamaza? Bakari: Baba huku jikoni ndo kulivyo, unasikia jina tu likiitwa lakini maneno menginehusikii, na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni.
Bakari akaenda sebuleni akaanza kuita. Bakari:Babaa! Boss: Naam Bakari! Bakari: Saa sita usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl? Boss:- kimyaaaa! Bakari:- Baba babaa! Boss:- Ndio Bakari! Bakari:- Nauliza hivii, chumbani kwa house girl saa sita za usiku huwa wafuata nini? Boss:- kimyaaaaaaa!
Boss akatoka nje: Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu zaidi ya jina!. Mama akasema msinizingue nyieโฆMbona siwaelewi.. Bakar: mama kama uamini na ww nenda uone.
Mama akaenda jikoni.. Bakari: akaita mamaa Mama : bee bakari Bakari: eti hiyo mimba niya baba au yangu.? Mama kimya Bakari; mama nakauliza tena hiyo mimba niyababa au yangu.
Mama akatoka aisee kweli humu unasikia jina tuโฆ..๐๐๐๐๐
Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala asubh wanakunywaย
Updated at: 2023-04-29 22:52:59 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
Updated at: 2024-05-25 17:08:07 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, "toa Kwanza nizione.."๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐