Updated at: 2024-05-25 17:08:07 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, "toa Kwanza nizione.."ππππππππππππππππ
Mabinti wengine kwa kupenda hela! cheki huyu anachokifanya
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Updated at: 2024-05-25 18:03:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY.
Girl: oh ucjal ntakuja na hata ntalala huko huko
Boy: na haruc je?
Girl: nilikuwa nakutania
Boy: hata mi nilikuwa nakutania
Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Updated at: 2024-05-25 17:02:05 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=. Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO. Kwenda na kurudi sh.12,000/=. Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
Updated at: 2024-05-25 17:56:35 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani imapotea ndani ya nyumba,unasimulia kuanzia padri,mchungaji,ukoo wako mzima,mashoga, stress,vidonda vya tumbo,inapelekea mpaka unaokoka,eti kisa kamuonjesha mmojaβ sasa akionjesha 700 si utakutwa MirembeοΏ½
Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
Updated at: 2024-05-25 17:11:31 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani. Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate? House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeeβ¦β¦the pasuka paaaaaaaa ππππhadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika