Updated at: 2024-05-25 17:17:44 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda kisha halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa Google?". Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta "π πππππππππ
Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Updated at: 2023-04-29 22:53:16 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake, jioni ilipofika Mume akarudi home na kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?" MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!" MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!! Mke hoiβ¦β¦
Updated at: 2024-05-25 16:52:33 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ulishawahi kutana na hiiβ¦. Issa: mambo Jeni:poa vp Issa:poa nambie:
Jeni:poa aje ww: Issa:poa nambie Jeni:poa Issa :bas poa Jeni:poaβ¦. Issa:poa badee basi Jeni:haya Issa:bai ππππβ¦β¦..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGAβ¦β¦
Updated at: 2024-05-25 17:13:37 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtotoβ¦Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasaβ¦..
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali baraa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.
Updated at: 2024-05-25 18:13:08 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali balaa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.
Β
Ebwana si akatoa simu hiyo inauzwa laki sita mimi hapa nina kisimu cha tochi tena nimefunga na rababendi Je, wewe ungeendelea kumtajia namba zako!!!