Updated at: 2024-05-25 17:57:33 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanzaβ¦β¦. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iwejeβ¦.anapenda sms zaidi 7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika. 8.Muda mwingi ni mtu wakujihami. 9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara. 10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta dial no haraka. 11.Always yuko na simuβ¦..hadi bafuni ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simuβ¦.anajishtukia. 13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi 14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa Share na washikaji zakoπππππ
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.
Updated at: 2024-05-25 18:04:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.
Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi?
Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.
Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Updated at: 2024-05-25 18:01:04 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"